BREAKING NEWS

recent

YANGA YAPAA KILELENI LIGI YA TANZANIA

150820005407_yanga_tanzania_640x360_bbc_nocredit
Timu ya soka ya Yanga imerejea tena kileleni mwa ligi ya Tanzania baada kupata ushindi dhidi ya African Sport. Yanga wakicheza ugenini katika dimba Mkwakwani walipata ushindi wa bao 1-0 kwa bao liliwekwa kambani na kiungo Thabani Kamusoko.
Timu hiyo sasa inaongoza Ligi ikiwa na alama 27, na kuwazidi timu ya Azam FC kwa alama 1 huku Azam wakiwa na mchezo mmoja mkononi.Ligi hiyo itaendelea tena kutimua vumbi mwishoni mwa wiki kwa michezo mbalimbali kuchezwa.
YANGA YAPAA KILELENI LIGI YA TANZANIA Reviewed by habarinamatukioyakijamii.brogspot.com on 12/18/2015 01:01:00 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by habartz © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

HABARI NA MATUKIO YA KIJAMIII. Powered by Blogger.