BREAKING NEWS

recent

TP MAZEMBE YACHAPWA 3 – 0 KLABU BINGWA

151109091655__86578123_mazges-495166102
Wawakilishi wa Afrika katika michuano ya kombe la dunia la vilabu timu ya Tp Mazembe imechapwa na wenyeji wa michuano hiyo timu ya Sanfrecce Hiroshima 3-0.
 Wenyeji Hiroshima walipata mabao yao kupitia Tsukasa Shiotani, Dakika ya 44, Kazuhiko Chiba, 56, na Takuma Asano, akifunga bao la mwisho.
kipigo hicho kinainyima nafasi timu ya Tp Mazembe kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo hivyo watachuana na Klabu America, ya Mexico, ambayo nayo ilichapwa kwa mabao 2-1 Guangzhou Evergrande.
Kwenye nusu fainali Sanfrecce Hiroshima, watawachuana na River Plate, huku Barcelona wakikipiga na Guangzhou Evergrande.
TP MAZEMBE YACHAPWA 3 – 0 KLABU BINGWA Reviewed by mudy mandai on 12/14/2015 11:05:00 AM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by habartz © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

HABARI NA MATUKIO YA KIJAMIII. Powered by Blogger.