BREAKING NEWS

recent

BREAKING NEWZZZ; TAMASHA LA SERENGET FIESTA HALITAKUWEPO MWAKA HUU


Ruge

Wakati staa wa Nigeria, Wizkid anaondoka Tanzania mwezi uliopita aliwaahidi mashabiki wake kuwa angerejea tena Tanzania kwenye tamasha la Fiesta 2015 mwezi December, lakini taarifa mpya kutoka kwa waandaaji Clouds Media zinasema kuwa tamasha hilo halitakuwepo mwaka huu.

Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ametoa sababu za kutofanyika kwa tamasha hilo kubwa mwaka huu.

“Fiesta mwaka huu tumekubaliana tusiifanye kwasababu tutakuwa tunabanana,” amesema Ruge kupitia XXL ya Clouds Fm. “Tulijua tukimaliza kampeni tutafanya kwa mikoa michache lakini tumeona kwamba hakuna kitu kizuri kama kumsupport mheshimiwa Magufuli , hebu sasa hivi turudi kwanza tutulie tuache hii amsha amsha aliyoanza nayo ianze kufanya kazi tujipange kwaajili ya Fiesta 15 ambayo itafanyika mwaka kesho, tutakuwa tunafikisha miaka 15 ya Fiesta na nina uhakika itakuwa na ukubwa inayostahili kuliko kufanya kitu kidogo mwaka huu tumeona tuache mwaka kesho mikoa 15 miaka 15 ya Fiesta itakuwa kubwa zaidi. Hapa Kazi imebidi iivae Fiesta pia.” Asema Ruge.

source bongo5.com
BREAKING NEWZZZ; TAMASHA LA SERENGET FIESTA HALITAKUWEPO MWAKA HUU Reviewed by habarinamatukioyakijamii.brogspot.com on 12/07/2015 03:20:00 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by habartz © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

HABARI NA MATUKIO YA KIJAMIII. Powered by Blogger.