BREAKING NEWS

recent

BREAKING NEWZZZZ; AJALI YA TRENI NA BASI YAUA WATU 18

ajali

Takribani watu 18 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya treni ya abiria kugongana na basi huko Jakarta nchini Indonesia.

Dereva wa basi ni miongoni mwa watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi katika makutano ya barabara na reli huko magharibi mwa mji wa Jakarta.
BREAKING NEWZZZZ; AJALI YA TRENI NA BASI YAUA WATU 18 Reviewed by mudy mandai on 12/06/2015 04:12:00 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by habartz © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

HABARI NA MATUKIO YA KIJAMIII. Powered by Blogger.