BREAKING NEWS

recent

ZANZIBAR KIMENUKA TENA "BAVICHA" WAMEAMUA NA BENDERA ZASHUSHWA RASMI HUKO ZANZIBAR


                                                     
SAMAHANI PICHA SIYO YA TUKIO HILI

Baraza la wanawake la CHADEMA Zanzibar laanza kufunga ofisi za chama hicho visiwani humo kupinga walichokiita unyonyaji kwa kupinga uteuzi viti maalum.

Baadhi ya Mikoa ya Pemba na Unguja wameanza kushusha bendera za CHADEMA, hawakubaliani na uteuzi wa viti maalum.
 
Wanadai Zanzibar ilitakiwa ipate nafasi tano za Viti maalum.

Makamu mwenyekiti wa BAWACHA Zanzibar Hamida Abdallah Aweshi amesema wamechoka na ukandamizaji na maamuzi yaliyofikiwa na Chama hicho kutokana na mgawanyo wa hafasi za Viti maalum vya Ubunge, amesema makao makuu ya CHADEMA wamekataa kusikilizwa kilio chao.

Amesema wamekosa sehemu ya kupeleka kilio chao.
ZANZIBAR KIMENUKA TENA "BAVICHA" WAMEAMUA NA BENDERA ZASHUSHWA RASMI HUKO ZANZIBAR Reviewed by habarinamatukioyakijamii.brogspot.com on 11/17/2015 12:56:00 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by habartz © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

HABARI NA MATUKIO YA KIJAMIII. Powered by Blogger.