BREAKING NEWS

recent

DIAMOND PLATNUMZ ASEMA LAZIMA NDOA NA ZARII

Inawezekana ulikuwa na maswali mengi kuhusu mipango ya harusi ya staa wa Bongo Fleva Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na Zari sasa basi ameyajibu kupitia kipindi cha Mseto cha Citizen kinachoendeshwa na Willy Mtuva.

‘Harusi haina muda mrefu kwa sababu unajua ndoa inakuwa inapagwa na mwenyezi Mungu kwa hiyo nisingependa kuzungumza kitu cha uongo, kwanza tulikuwa tuzae mtoto na hatukutaka kupalamiana kuoana pasipo kujuana kiundani zaidi kwa hiyo panapomajaliwa nitatangaza rasmi ni lini masuala ya ndoa‘ – Diamond Platnumz

Willy Mtuva:Zari ni mtu maarufu nje ndani ya nyumba yukoje?

‘Yuko vizuri kwasababu kwanza kikubwa anajua kuna maisha ya umarufu na maisha ya kutafuta pesa na usipoweza kujiongoza mtu anaweza kutumia pesa vibaya anajua kwamba ana mwanaume ambaye anahitaji kupikiwa, anatakiwa kuandaliwa maji na vitu vingine kwa hiyo ni mwanamke anayejitambua’ – Diamond Platnumz
DIAMOND PLATNUMZ ASEMA LAZIMA NDOA NA ZARII Reviewed by habarinamatukioyakijamii.brogspot.com on 11/11/2015 09:18:00 AM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by habartz © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

HABARI NA MATUKIO YA KIJAMIII. Powered by Blogger.