BREAKING NEWS

recent

LOWASSA AWASILI SINGIDA LEO,APIGA KAMPENI JIMBO LA IRAMBA

 
MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Amezidi litikisa Taifa,
Baada ya leo Kuutikisa mkoa wa Singida na Viunga Vyake huku mkoa huo,shughuli zote zikiwa zimesimama ili kumpokea lowassa,kama ambayo unaona kwenye picha hizo,
Umati wa watu ukiwa umetanda barabarani wakimlaki Lowassa huku wakiimbi nyimbo kwa kusema “Rais Rais Rais”
Mkoa Singia ambayo kwa kiasi kikubwa ni ngome ya CCM ambapo ndio unamtoa Naibu Waziri wa Fedha,Mwigulu Nchembe,Waziri wa Maliasili na Utalii Nyalandu 
LOWASSA AWASILI SINGIDA LEO,APIGA KAMPENI JIMBO LA IRAMBA Reviewed by habarinamatukioyakijamii.brogspot.com on 9/12/2015 07:19:00 PM Rating: 5
All Rights Reserved by habartz © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

HABARI NA MATUKIO YA KIJAMIII. Powered by Blogger.